Loading...
Salamu za Karibu

Dr. Salma Kitara

Mganga Mfawidhi

Hospitali ya Arusha Jiji ilianzishwa na kufunguliwa mnamo Tarehe 17 Oktoba, 2021 na Mheshimiwa Raisi Samia S. Hassan, ikiwa ni sehemu ya Agizo la Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuhakikisha utoaji wa Huduma za Afya chini ya Halmashauri ya Arusha Jiji inafanyika katika ufanisi wa hali ya juu.

Hospitali ya Arusha Jiji ilianzishwa katika kuhakikisha Utoaji wa Huduma ya mama na Mwana, Huduma kwa Magonjwa ya Kuambukizwa na yasiyo ya Kuambukizwa inatolewa ipasavyo zikiwemo pia jitihada za kuzuia na kutibu changamoto mbalimbali za magonjwa zinazoathiri jamii

Hospitali ya Arusha Jiji inajumuisha Wodi binafsi za Wagonjwa zaidi ya Nne na Wodi za Umma za Wagonjwa wanaopata Huduma mbalimbali zaidi ya Kumi.

Pia, Hospitali ya Arusha Jiji inatoa huduma kwa wananchi zaidi ya Elfu Moja wanaopatikana ndani na nje ya Halmashauri ya Arusha Jiji zikiwemo Huduma za Wagonjwa wa Nje, Wagonjwa wa Ndani na Aina nyingine za Wagonjwa katika kupata huduma. Pia, Hospitali ya Arusha Jiji inahudumia Wagonjwa wa Malipo ya papo hapo, Wagonjwa wanaotumia Bima za NHIF, CHF na hata wale wagonjwa wenye Msamaha wa Malipo katika kupata Huduma kutoka kwa wataalamuwetu wa Afya

Wafanyakazi zaidi ya 50

Samani zaidi ya 150

Vitendea Kazi zaidi ya 70

Hali Nzuri ya Usalama

Huduma Bora Kwa Mgonjwa

Huduma Masaa 24

Peruzi Zaidi
Huduma Zetu
Huduma ya Mionzi Ultra Sound

Hospitali ya Arusha Jiji ina huduma ya Tiba Mionzi ya Ultra Sound inayotolewa katika ufanisi wa hali ya juu kupitia Wataalamu wetu wabobezi katika kuhakikisha huduma bora zinatolewa kwa Wagonjwa wanaofika kupata Matibabu

Huduma za Vipimo

Pia, Hospitali ya Arusha Jiji inatoa huduma ya Vipimo kwa Wagonjwa wenye changamoto mablimbali za Afya kwa kutumia wataalamu wetu Wabobezi katika ufanisi wa hali ya juu kwa huduma bora

Huduma ya Dawa

Wataalamu wetu Wabobezi wa Masuala ya Dawa wapo tayari kutoa huduma bora kwa wagonjwa wanaofika Hospitali ya Arusha Jiji katika kuhakikisha huduma bora ya Afya inatolewa kwa wagonjwa wote

Huduma za Uzazi

Pia, Huduma za Uzazi kwa wagonjwa wanaofika Hospitali ya Arusha Jiji inapatikana katika ufanisi wa hali ya juu kupitia Wataalamu wetu Wabobezi katika kuhakikisha Huduma bora ya Afya inatolewa kama sehemu ya Agizo la Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Huduma ya Upasuaji

Wagonjwa wanaofika katika Hospitali ya Arusha Jiji wanapatiwa Huduma nora za Upasuaji kutoka kwa Wataalamu wetu wabobezi katika kuhakikisha huduma bora ya Afya kwa wagonjwa inapatikana

Huduma ya Maabara

Wataalamu wetu wabobezi katika Masuala ya Maabara wanapatikana katika kuhakikisha huduma bora za Kimaabara zinatolewa kwa Wagonjwa wanaofika Hospitali ya Arusha Jiji kwa ajili ya Matibabu

Huduma Kliniki ya Macho

Pia, Hospitali ya Arusha Jiji inatoa huduma bora ya Matibabu ya Macho kupitia Wataalamu Wetu Wabobezi katika kuhakikisha huduma bora za Matibabu ya Macho inapatikana kwa Wagonjwa wanaofika kwa ajili ya kupata huduma

Huduma Kliniki ya Meno

Hospitali ya Arusha Jiji inatoa Huduma za Matibabu ya meno kupitia Wataalamu Wetu wabobezi katika kuhakikisha huduma bora za Matibabu ya meno inatolewa kwa Wagonjwa wote wanaofika.

Muda wa Kuona Wagonjwa

ASUBUHI :- Saa 12:00 - 01:00

MCHANA :- Saa 06:00 - 07:00

JIONI :- Saa 10:00 - 11:00

Mahali Tulipo

Vifaa Tiba

Hospitali ya Arusha Jiji inajumuisha Vitendea Kazi Mbalimbali vinavyotumiwa na Wataalamu wetu wa Afya Wabobezi katika kuhakikisha Wagonjwa wanaofika hospitali wanapatiwa huduma bora za kitabibu. Vifaa tiba vinavyopatikana ni pamoja na vifuatavyo;

Mitazamo na Malengo

Hospitali ya Arusha Jiji inajumuisha Mitazamo na Malengo mbalimbali katika utekelezaji wa Majukumu ya Kila Siku yakijumuisha yafuatayo;

MITAZAMO

Mitazamo ya Hospitali ya Arusha Jiji ni kuhakikisha upatikanaji wa Huduma bora za Afya kwa jamii Ndani na Nje ya Halmashauri ya Arusha Jiji inapatikana katika ufanisi wa hali ya juu

MALENGO

Pia, Malengo ya hospitali ya Arusha Jiji ni kutekeleza Mikakati Muhimu ya kuhakikisha ufanisi katika utoaji wa Huduma za Afya kwa jamii inatekelezeka katika ufanisi wa hali ya juu kutoka na Mahitaji ya wanajamii

UTHUBUTU

Timu Kazi Yetu / Wataalamu wetu Wabobezi wana Uthubutu wa Hali ya juu katika kuhakikisha utoaji wa huduma bora za Afya unafanyika kwa kila aina ya Mgonjwa anaefika katika Hospitali ya Arusha Jiji

Wodi za Wagonjwa
Booking

Weka Booking

Mtumiaji wa Mfumo sasa unaweza kuweka Appointment na Mtaalamu wa Afya kupata huduma bora zaidi ya Matibabu

Tafadhali, Jaza Taarifa Muhimu zinazohitajika hapo chini ili kukamilisha Appointment yako na Mtaalamu wa Afya

Weka Appointment

Tafadhali weka aina ya Appointment na Mtaalamu wa Afya. Utapata Mrejesho hivi punde kutoka kwetu

Matangazo

TAARIFA

  • Uwajibikaji Ukumbusho

    ( 16 Februari, 2024)

  • Kikao cha Watumishi Wote

    (18 Januari, 2024)

  • Civil Tender Document

    (30 Agosti, 2023)

SIKUKUU MAPUMZIKO

  • Eid Al-Adha

    (17 Juni, 2024)

  • Siku ya Wafanyakazi

    (01 Mei, 2024)

  • Muungano

    (26 Aprili, 2024)

  • Ramadhan

    ( 11 Machi, 2024)

  • Ijumaa Kuu

    (29 Machi, 2024)

  • Pasaka

    (31 Machi, 2024)

KALENDA

  • Siku ya Wauguzi Duniani

    (17 Mei)

  • Siku ya Macho Duniani

    (10 Oktoba)

  • Siku ya Uchangiaji Damu Duniani

    (14 Juni)

  • Siku ya UKIMWI Duniani

    (01 Disemba)

  • Siku ya Lishe Duniani

    (16 Oktoba)

VIKAO

  • Kikao cha Mafunzo SME

    ( Jumatano)

  • Kikao cha Wafanyakazi Wote

    (Mwisho wa Robo Mwaka)

  • Kikao cha HMT

    (Mwisho wa Robo Mwaka )

Matukio

Hospitali ya Arusha Jiji imeratibu Matukio mbalimbali yanayoendana na Taaluma zao katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku ndani na nje ya maeneo ya Hospitali katika kuhakikisha huduma bora za Afya kwa jamii. Miongoni mwa matukio ni pamoja na;

Image

Tarehe : 20-24/05/2024

Kambi Maalum ya Madaktari Bingwa wa Raisi Dkt. Samia Suluhu Hassani , ndani ya Hospitali ya Jiji Arusha

Hii ni Kambi Maalum ya Madaktari Bingwa wa Mheshimiwa Raisi Dkt. Samia Suluhu Hassan ndani ya Hospitali ya Jiji Arusha iliyoandaliwa kwa lengo la kuimarisha uwezo wa Wataalamu wa Afya ndani ya Tanzania. Kambi ilienda vizuri ikiambatana na ushirikiano wa hali ya juu kutoka kwa washiriki walioweza kufika.

Tarehe : 17/05/2024

Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani, ndani ya Hospitali ya Jiji Arusha

Haya ni Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani yaliyofanyika katika viwanja vya Hospitali ya Jiji Arusha yakijumuisha Wauguzi mbalimbali wanaopatikana ndani ya Jiji la Arusha. Maadhimisho yalienda vizuri yakiambatana na Maandamano ya kuvutia.

Tarehe : 26/04/2024

Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano TANZANIA ndani ya Hospitali ya Jiji Arusha

Maadhimisho ya Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (TANZANIA) yakijumuisha Wakazi, watumishi mbalimbali pamoja na viongozi mbalimbali yakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Felician Mtahengera kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha katika kushiriki shughuli mbalimbali zikiwemo Zoezi la Utoaji Damu, Upandaji wa Miti, ushauri wa masuala ya Afya pamoja na Ufanyaji usafi mazingira kuzunguka Hospitali ya Jiji la Arusha.

Peruzi Zaidi
Image

Tarehe : 26/04/2024

Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano TANZANIA ndani ya Hospitali ya Jiji Arusha

Maadhimisho ya Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (TANZANIA) yakijumuisha Wakazi, watumishi mbalimbali pamoja na viongozi mbalimbali yakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Felician Mtahengerwa kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha katika kushiriki shughuli mbalimbali zikiwemo Zoezi la Utoaji Damu, Upandaji wa Miti, ushauri wa masuala ya Afya pamoja na Ufanyaji usafi mazingira kuzunguka Hospitali ya Jiji la Arusha.

Tarehe : 04/02/2024

Ujio wa Timu Kazi ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ( TAKUKURU ) ndani ya Hospitali ya Jiji Arusha

Lilikuwa ni tukio la kuvutia ambapo Timu Kazi ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ( TAKUKURU )walifika katika Hospitali ya Jiji Arusha kuunga mkono jitihada za Hospitali yetu katika zoezi zima la utoaji wa huduma za Afya katika jamii. Zoezi lilienda vizuri likiandamana na upandaji wa Miti ya kuvutia ndani ya Hospitali ya Jiji Arusha

Tarehe : 26/02/2024

Kikao cha Asubuhi ( Morning Report) cha Wafanyakazi wa Hospitali ya Arusha Jiji

Hiki ni kikao cha Wafanyakazi wa Hospitali ya Arusha Jiji kinachofanyika Mara Nne ( Kwa siku Nne) kila Wiki kuzungumzia changamoto Mbalimbali za Kiutendaji wanazokutana nazo wafanyakazi. Pia, kikao hiki hutumiwa na wafanyakazi katika kushirikishana mawazo ya kujenga katika zoezi la utoaji huduma kwa wagonjwa.

Peruzi Zaidi
Image

Tarehe: 24/01/2024

Elimu ya Lishe kutoka kwa Wataalamu Hospitali ya Arusha Jiji

Utoaji wa Elimu ya Lishe kutoka kwa Wataalamu wa Lishe ni zoezi lililofanyika katika Hospitali ya Arusha jiji ikiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi katika jamii kuhusu ni kanuni zipi za Afya zinatakiwa zizingatiwe katika masuala ya lishe. Zoezi lilienda vizuri kutoka kwa wataalamu wetu.

Peruzi zaidi

Tarehe : 17/12/2023

Semina ya Mafunzo ya Huduma za Afya ndani ya ofisi za Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC). Njiro, Arusha

hii ni Semina ya Mafunzo ya Huduma za Afya zilizofanyika katika ofisi ya Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) yenye lengo la kutoa Elimu ya Afya pamoja na kuongeza uelewa kwa jamii juu ya namna ya kujikinga na magonjwa mbalimbali yanayosumbua katika jamii. Semina hii iliongozwa na wataalamu wetu wabobezi kutoka Hospitali ya Arusha Jiji

Peruzi Zaidi
Image

Tarehe: 23/02/2024

Kliniki ya Mama na Mtoto, Hospitali ya Arusha Jiji

Hii ni huduma ya Kliniki ya Mama na Mtoto inayotolewa na kitengo cha Uzazi wa Mpango ( RCH ) Muda ni Kila Siku, kuanzia saa 02:00 Asubuhi hadi Saa 09:30 Mchana ikiwa na lengo la kufuatilia na kuhakikisha Maendeleo ya Mama na Mtoto katika jamii yanazingatia vigezo vinavyotakiwa na Wizara ya Afya. Pia huduma hii inahakikisha Maendeleo ya mtoto baada ya kuzaliwa yanakuwa vizuri ikijumuisha pia huduma za Ushauri wa uzazi wa Mpango kutoka kwa wataalamu wa Afya kutoka Hospitali ya Arusha Jiji

Peruzi Zaidi
Image

Tarehe : 19/02/2024

Mganga Mfawidhi akikagua Ujenzi unaondelea wa Jengo la Wagonjwa wa Nje ( OPD Complex)

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Arusha Jiji, Dkt. Salma Kitara akikagua Ujenzi unaoendelea wa jengo linalotazamiwa kutumika kwa ajili ya Wagonjwa wa Nje katika Hospitali ya Arusha Jiji. Kwa ripoti inayoonesha kuwa Ujenzi unaendelea vizuri katika kuboresha Miundombinu ya Utoaji huduma kwa Wagonjwa

Peruzi zaidi
Image

Tarehe : 18/10/2023

Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Mhe. John Mongella akikagua Ujenzi wa Jengo la Wagonjwa wa Nje, Hospitali ya Arusha Jiji

Mkuu wa Mkoa wa Arusha akikagua ujenzi wa jengo la wagonjwa wa Nje unaonedelea katika Hospitali ya Arusha Jiji. Ujenzi unaendelea vizuri ikiwa ni Matazamio ya Hospitali hiyo kuimarisha miundombinu rafiki ya ufanyaji kazi kwa huduma za wagonjwa wa nje kutoka kwa wataalamu wabobezi wa Afya katika hospitali hiyo

Peruzi zaidi
Image

Tarehe : 27/01/2024

Zoezi la Uchangiaji Damu Ndani ya Eneo la Halmashauri ya Arusha Jiji

Hili ni Tukio lilifanyika ndani ya eneo la Halmashauri ya Arusha Jiji lililoratibiwa na Wataalamu Wabobezi wa Afya kutoka Hospitali ya Arusha Jiji likiwa na lengo la kuendesha zoezi la Uchangiaji damu pia kuendesha utoaji wa Huduma za Elimu ya Afya kwa jamii ikiwa na dhumuni la kuimarisha uelewa wa jamii juu ya magonjwa mablimbali na namna ya kujikinga na magonjwa hayo yanayosumbua jamii

Peruzi zaidi
Image

Tarehe: 24/01/2024

Elimu ya Lishe kutoka kwa Wataalamu Hospitali ya Arusha Jiji

Utoaji wa Elimu ya Lishe kutoka kwa Wataalamu wa Lishe ni zoezi lililofanyika katika Hospitali ya Arusha jiji ikiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi katika jamii kuhusu ni kanuni zipi za Afya zinatakiwa zizingatiwe katika masuala ya lishe. Zoezi lilienda vizuri kutoka kwa wataalamu wetu.

Peruzi zaidi
Image

Tarehe: 24/01/2024

Elimu ya Lishe kutoka kwa Wataalamu Hospitali ya Arusha Jiji

Utoaji wa Elimu ya Lishe kutoka kwa Wataalamu wa Lishe ni zoezi lililofanyika katika Hospitali ya Arusha jiji ikiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi katika jamii kuhusu ni kanuni zipi za Afya zinatakiwa zizingatiwe katika masuala ya lishe. Zoezi lilienda vizuri kutoka kwa wataalamu wetu.

Peruzi zaidi
Image

Tarehe: 24/01/2024

Elimu ya Lishe kutoka kwa Wataalamu Hospitali ya Arusha Jiji

Utoaji wa Elimu ya Lishe kutoka kwa Wataalamu wa Lishe ni zoezi lililofanyika katika Hospitali ya Arusha jiji ikiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi katika jamii kuhusu ni kanuni zipi za Afya zinatakiwa zizingatiwe katika masuala ya lishe. Zoezi lilienda vizuri kutoka kwa wataalamu wetu.

Peruzi zaidi
Image

Tarehe : 17/12/2023

Semina ya Mafunzo ya Huduma za Afya ndani ya ofisi za Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC). Njiro, Arusha

hii ni Semina ya Mafunzo ya Huduma za Afya zilizofanyika katika ofisi ya Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) yenye lengo la kutoa Elimu ya Afya pamoja na kuongeza uelewa kwa jamii juu ya namna ya kujikinga na magonjwa mbalimbali yanayosumbua katika jamii. Semina hii iliongozwa na wataalamu wetu wabobezi kutoka Hospitali ya Arusha Jiji

Peruzi Zaidi
Image

Tarehe : 17/12/2023

Semina ya Mafunzo ya Huduma za Afya ndani ya ofisi za Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC). Njiro, Arusha

hii ni Semina ya Mafunzo ya Huduma za Afya zilizofanyika katika ofisi ya Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) yenye lengo la kutoa Elimu ya Afya pamoja na kuongeza uelewa kwa jamii juu ya namna ya kujikinga na magonjwa mbalimbali yanayosumbua katika jamii. Semina hii iliongozwa na wataalamu wetu wabobezi kutoka Hospitali ya Arusha Jiji

Peruzi Zaidi
Image

Tarehe: 24/01/2024

Zoezi la Uelimishaji jamii kuhusu Lishe, Radio TBC Arusha

Hili ni zoezi lililoandaliwa na radio TBC Arusha kwa kushirikiana na Wataalmau wa Afya ya Lishe kutoka Hospitali ya Arusha Jiji. Zoezi lilikuwa na lengo la kutoa elimu kwa jamii kuhusu kanuni bora za Lishe katika kujikinga na magonjwa mbalimbali. Zoezi lilifanyika vizuri na jamii ilifanikiwa kupata elimu kuhusu Afya ya Lishe kupitia Radio TBC Arusha

Peruzi zaidi
Image

Tarehe: 05/02/2024

Kliniki ya Mama na Mtoto, Hospitali ya Arusha Jiji

Hii ni huduma ya Kliniki ya Mama na Mtoto inayotolewa na kitengo cha Uzazi wa Mpango ( RCH ) Muda ni Kila Siku, kuanzia saa 02:00 Asubuhi hadi Saa 09:30 Mchana ikiwa na lengo la kufuatilia na kuhakikisha Maendeleo ya Mama na Mtoto katika jamii yanazingatia vigezo vinavyotakiwa na Wizara ya Afya. Pia huduma hii inahakikisha Maendeleo ya mtoto baada ya kuzaliwa yanakuwa vizuri ikijumuisha pia huduma za Ushauri wa uzazi wa Mpango kutoka kwa wataalamu wa Afya kutoka Hospitali ya Arusha Jiji

Peruzi zaidi
Image

Tarehe: 14/11/2023

Semina ya ushauri wa Afya ndani ya ofisi za VETA, Njiro Arusha

Hii ni Semina ya ushauri wa huduma za Afya iliyoendeshwa na Wataalamu wetu wa Afya kutoka Hospitali ya Arusha Jiji yenye lengo la kutoa ushauri wa masuala ya Afya na namna ya kuimarisha elimu ya kujikinga na magonjwa mbalimbali katika jamii. Ni Semina yenye tija kwa jamii ndani ya Mkoa wa Arusha

Tarehe : 20/10/2023

Ujio wa Katibu Mkuu Taifa wa TUGHE ndani ya Hospitali ya Arusha Jiji

Huu ulikuwa ni wakati mzuri kwa Watumishi wa Hospitali ya Arusha Jiji kuwa na mazungumzo yenye tija na Katibu wa TUGHE Taifa ambapo Mgeni rasmi alihimizia Umoja na Mshikamano kwa wafanyakazi katika kuimarisha utoaji wa Huduma bora kwa wagonjwa wanaofika ndani ya Hospitali ya Arusha Jiji kupata huduma mbalimbali

Peruzi Zaidi
Image

Tarehe : 04/09/2023

Kikao cha Mafunzo cha SME Kwa Watumishi wa Hospitali ya Arusha Jiji

Hiki ni Kikao cha Mafunzo ambacho hufanyika katika Ukumbi wa Vikao wa Hospitali ya Arusha Jiji kikiwa na lengo la kufundishana, kubadilishana mawazo na kuchambua njia sahihi za kutumia katika kutatua changamoto mbalimbali za Kiafya wanazokutana nazo watu katika jamii. Kanzi Nzuri Timu !!.

Peruzi Zaidi
Image

Tarehe: 30/09/2023

Kikao cha Mganga Mfawidhi Dr. SALMA KITARA na Wafanyakazi Wote

Hiki ni Kikao hufanyika katika Ukumbi wa Vikao katika Hospitali ya Arusha Jiji ambapo Mwenyekiti wa Kikao hiko alikuwa Mganga Mfawidhi kuzungumzia maboresho yanayotakiwa yafanyike katika kuimarisha huduma za Afya kwa wagonjwa wanaofika katika Hospitali ya Arusha Jiji

Peruzi Zaidi
Wadau Wetu

Tafadhali Andika Maoni Yako

Tafadhali Andika Maoni Yako Hapa kwa Ajira ya Kuboresha Huduma. Karibu sana!!