Mkuu wa Kitengo cha Meno
( +255 ) 755 872 036
A. Uwajibikaji Katika Kazi:
Dr. Zumo John anawajibika kama Daktari Mkuu Kitengo cha Meno wa Hospitali ya Jiji la Arusha. Mwenye uzoefu wa kutosha katika masuala yanayohusu Udaktari wa Meno. Anahakikisha malengo ya hospitali ya Jiji la Arusha yanatimizwa hasa yale yanayohusu taaluma ya Udaktari wa Meno katika ufanisi unaohitajika.
B. Maisha Nje ya Ofisi:
Nje ya Ofisi, maisha ya Dr. Zumo huwa anajihusisha na masuala yanayohusu kujitolea katika jamii yakijumuisha kufurahi pamoja na jamii ili kuimarisha furaha katika jamii kwa lengo la kuleta tija katika jamii. Pia, huwa ni mdau katika kutatua changamoto mbalimbali zinazotokea katika jamii kwa ushirikiano wa wadau wengine.
Daktari wa Meno
( +255 ) 752 770 711
A. Uwajibikaji Katika Kazi:
Dr. Wegoro anawajibika kama Daktari Kitengo cha Meno wa Hospitali ya Jiji la Arusha. Mwenye uzoefu wa kutosha katika masuala yanayohusu Udaktari wa Meno. Anahakikisha malengo ya hospitali ya Jiji la Arusha yanatimizwa hasa yale yanayohusu taaluma ya Udaktari wa Meno katika ufanisi unaohitajika.
B. Maisha Nje ya Ofisi:
Nje ya Ofisi, maisha ya Dr. Wegoro huwa anajihusisha na masuala yanayohusu kujitolea katika jamii yakijumuisha kufurahi pamoja na jamii ili kuimarisha furaha katika jamii kwa lengo la kuleta tija katika jamii. Pia, huwa ni mdau katika kutatua changamoto mbalimbali zinazotokea katika jamii kwa ushirikiano wa wadau wengine.
Tafadhali Andika Maoni Yako Hapa kwa Ajira ya Kuboresha Huduma. Karibu sana!!