Loading...

Kitengo cha TEHAMA (ICT)

Kutana na Kitengo cha TEHAMA
Image

Fridolin Anthony


Afisa TEHAMA Hospitali

( +255 ) 683 168 429

( +255 ) 764 543 811


A. Uwajibikaji Katika Kazi:

Mr. Fridolin Anthony anawajibika kama Afisa TEHAMA wa hospitali ya Jiji la Arusha. Mwenye uzoefu wa kutosha katika masuala yanayohusu Uhandisi wa sayansi ya Kompyuta. Anahakikisha malengo ya hospitali ya Jiji la Arusha yanatimizwa hasa yale yanayohusu taaluma ya TEHAMA katika ufanisi unaohitajika.


B. Maisha Nje ya Ofisi:

Nje ya Ofisi, maisha ya Mr. Fridolin huwa anafuraha sana kujihusisha na masuala ya utengenezaji wa programu kompyuta, usalama wa mtandao na uchunguzi wa kimtandao katika kuzuia udukuzi mtandao kwa lengo la kuleta tija katika jamii. Pia, huwa ni mdau katika kutatua changamoto mbalimbali zinazotokea katika jamii kwa ushirikiano wa wadau wengine wa teknolojia.

Wadau Wetu

Tafadhali Andika Maoni Yako

Tafadhali Andika Maoni Yako Hapa kwa Ajira ya Kuboresha Huduma. Karibu sana!!