Hospitali ya Arusha Jiji, kuna huduma mbalimbali za Matibabu zinazotolewa na Wataalamu wetu wabobezi katika ufanisi wa hali ya juu kama zifuatazo;
1. HUDUMA YA UPIMAJI
Hospitali ya Arusha Jiji ina wataalamu Wabobezi katika Huduma ya Upimaji Magonjwa mbalimbali kwa wagonjwa mbalimbali katika jamii. Baadhi ya Huduma za Upimaji zinazofanyika katika Hospitali ya Arusha Jiji ni pamoja na zifuatazo;
Miongoni mwa Takwimu za Huduma ya Ushauri inayotolewa katika Hospitali ya Jiji la Arusha kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi inajumuisha zifuatazo;
Kitengo / Mwaka
|
2021 (Wagonjwa)
|
2022 (Wagonjwa)
|
2023 (Wagonjwa)
|
2024 (Wagonjwa)
|
Chini Miaka 5 | 140 | 176 | 163 | 203 |
Chini Miaka 14 | 95 | 98 | 112 | 226 |
Zaidi Miaka 15 | 74 | 83 | 113 | 245 |
Hospitali ya Jiji la Arusha inatoa Huduma za Ushauri kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi. Huduma bora kwa kuzingatia utaalamu wa kutosha ili kuleta matokeo bora kwa wapokea huduma kutoka kwetu
2. HUDUMA YA USHAURI MASUALA YA AFYA
Hospitali ya Arusha Jiji ina wataalamu Wabobezi katika Huduma ya Ushauri Masuala ya Afya kwa wagonjwa mbalimbali katika jamii. Baadhi ya Huduma za Ushauri ktika Masuala ya Afya zinazopatikana katika Hospitali ya Arusha Jiji ni pamoja na zifuatazo;
Miongoni mwa Takwimu za Huduma ya Wagonjwa wa Nje (OPD) inayotolewa katika Hospitali ya Jiji la Arusha kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi inajumuisha zifuatazo;
Kitengo / Mwaka
|
2021 (Wagonjwa)
|
2022 (Wagonjwa)
|
2023 (Wagonjwa)
|
2024 (Wagonjwa)
|
Chini Miaka 5 | 42 | 70 | 68 | 135 |
Chini Miaka 14 | 95 | 98 | 112 | 226 |
Zaidi Miaka 15 | 74 | 83 | 113 | 245 |
Hospitali ya Jiji la Arusha inatoa Huduma za Wagonjwa wa Nje (OPD) kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi. Huduma bora kwa kuzingatia utaalamu wa kutosha ili kuleta matokeo bora kwa wapokea huduma kutoka kwetu
Tafadhali Andika Maoni Yako Hapa kwa Ajira ya Kuboresha Huduma. Karibu sana!!