Hospitali ya Arusha Jiji inajumuisha suala la Utoaji wa Huduma za Lishe katika ufanisi wa hali ya juu kutoka kwa Wataalamu wetu wabobezi wa Masuala ya Afya. Huduma hizo zikijumuisha zifuatazo;
1. HUDUMA ZA LISHE
Hospitali ya Arusha Jiji ina wataalamu Wabobezi katika Huduma ya Masuala ya Lishe kwa wagonjwa mbalimbali katika jamii. Baadhi ya Huduma za Upimaji zinazofanyika katika Hospitali ya Arusha Jiji ni pamoja na zifuatazo;
Miongoni mwa Takwimu za Huduma za Lishe zinazotolewa katika Hospitali ya Jiji la Arusha kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi zinajumuisha kama ifuatavyo;
Kitengo / Mwaka
|
2021 (Wagonjwa)
|
2022 (Wagonjwa)
|
2023 (Wagonjwa)
|
2024 (Wagonjwa)
|
Wajawazito | 1483 | 3831 | 3881 | 964 |
Wagonjwa wa Nje (OPD) | 9887 | 20828 | 29016 | 7859 |
Wazazi | 174 | 1148 | 1653 | 410 |
Huduma ya Lishe inatolewa katika Hospitali ya Jiji la Arusha kwa wapokea Huduma wote kwa ubora wa hali ya juu kutoka kwa wataalmau wetu wabobezi ili kuhakikisha huduma bora zinatolewa kulingana na viwango vinavyohitajika na Wizara ya Afya Tanzania.
Tafadhali Andika Maoni Yako Hapa kwa Ajira ya Kuboresha Huduma. Karibu sana!!