Zifuatazo ni baadhi ya Huduma za TEHAMA katika Masuala ya Hardware zinazotolewa katika Kitengo cha Tehama ndani ya Hospitali ya Arusha zikijumuisha;
Utengenezaji wa Masuala ya hardware za Computer
Utengenezaji wa vifaa vingine vya kielektroniki
Uratibu na usimamizi wa Kebo katika Server pamoja na vifaa vingine vya Kielektroniki
Utengenezaji wa Miundombinu ya Vifaa vya Kielektroniki
Masuala ya Program
Zifuatazo ni baadhi ya Huduma za TEHAMA katika Masuala ya Program zinazotolewa katika Kitengo cha Tehama ndani ya Hospitali ya Arusha zikijumuisha;
Utengenezaji wa program za Computer
Utatuaji wa changamoto za program za Computer
Kuratibu na kusimamia ufanyaji kazi wa Camera za CCTV
Kusimamia na kuratibu ufanyaji kazi Mifumo ya kusaini kwa Alama za Vidole na Mfumo wa GoT - HoMIS pamoja na mifumo ya ufanyaji kazi inayotumiwa na Watumishi ya sekta ya Afya
Kurekebisha na kuweka program katika Computer za watumishi ndani ya Hospitali ya Arusha Jiji
Wadau Wetu
Hospitali ya Rufaa Mount Meru
Benki NMB
Bima NHIF
Bohari Dawa MSD
Maoni
Tafadhali Andika Maoni Yako
Tafadhali Andika Maoni Yako Hapa kwa Ajira ya Kuboresha Huduma. Karibu sana!!