Loading...

Kitengo cha Macho

Kutana na Kitengo cha Macho
Image

Rosemary Kimaro


Mkuu wa Kitengo cha Macho

( +255 ) 782 644 646


A. Uwajibikaji Katika Kazi:

Dr. Rosemary Kimaro anawajibika kama Daktari Mkuu Kitengo cha Macho wa Hospitali ya Jiji la Arusha. Mwenye uzoefu wa kutosha katika masuala yanayohusu Udaktari wa Macho. Anahakikisha malengo ya hospitali ya Jiji la Arusha yanatimizwa hasa yale yanayohusu taaluma ya Udaktari wa Macho katika ufanisi unaohitajika.


B. Maisha Nje ya Ofisi:

Nje ya Ofisi, maisha ya Dr. Rosemary huwa anajihusisha na masuala yanayohusu kujitolea katika jamii yakijumuisha kufurahi pamoja na jamii ili kuimarisha furaha katika jamii kwa lengo la kuleta tija katika jamii. Pia, huwa ni mdau katika kutatua changamoto mbalimbali zinazotokea katika jamii kwa ushirikiano wa wadau wengine.

Image

Dr. Joan Msuya


Daktari wa Macho

( +255 ) 718 785 775


A. Uwajibikaji Katika Kazi:

Dr. Joan Msuya anawajibika kama Daktari Kitengo cha Macho wa Hospitali ya Jiji la Arusha. Mwenye uzoefu wa kutosha katika masuala yanayohusu Udaktari wa Macho. Anahakikisha malengo ya hospitali ya Jiji la Arusha yanatimizwa hasa yale yanayohusu taaluma ya Udaktari wa Macho katika ufanisi unaohitajika.


B. Maisha Nje ya Ofisi:

Nje ya Ofisi, maisha ya Dr. Joan huwa anajihusisha na masuala yanayohusu kujitolea katika jamii yakijumuisha kufurahi pamoja na jamii ili kuimarisha furaha katika jamii kwa lengo la kuleta tija katika jamii. Pia, huwa ni mdau katika kutatua changamoto mbalimbali zinazotokea katika jamii kwa ushirikiano wa wadau wengine.

Wadau Wetu

Tafadhali Andika Maoni Yako

Tafadhali Andika Maoni Yako Hapa kwa Ajira ya Kuboresha Huduma. Karibu sana!!