Daktari Mazoezi Viungo
( +255 ) 747 516 168
A. Uwajibikaji Katika Kazi:
Dr. Bakari Baruti anawajibika kama Daktari Mkuu Kitengo cha Mazoezi katika Hospitali ya Jiji la Arusha. Mwenye uzoefu wa kutosha katika masuala yanayohusu Udaktari wa Mazoezi. Anahakikisha malengo ya hospitali ya Jiji la Arusha yanatimizwa hasa yale yanayohusu taaluma ya Mazoezi ya Viungo katika ufanisi unaohitajika.
B. Maisha Nje ya Ofisi:
Nje ya Ofisi, maisha ya Dr. Baruti huwa anajihusisha na masuala yanayohusu kujitolea katika jamii yakijumuisha kufurahi pamoja na jamii ili kuimarisha furaha katika jamii kwa lengo la kuleta tija katika jamii. Pia, huwa ni mdau katika kutatua changamoto mbalimbali zinazotokea katika jamii kwa ushirikiano wa wadau wengine.
Tafadhali Andika Maoni Yako Hapa kwa Ajira ya Kuboresha Huduma. Karibu sana!!.