Zifuatazo ni Huduma za Masuala ya Mtandao zinazotolewa na Kitengo cha TEHAMA ndani ya Hospitali ya Arusha Jiji. Huduma hizi zinajumuisha kama zifuatazo;
Kuratibu na Kusimamia Server ya Mtandao
Kuratibu, Kusimamia na kurekebisha Masuala ya Mtandao wa Office (WiFi)
Kuratibu, Kusimamia na kurekebisha Masuala ya Mtandao Simu ndani ya Hospitali
Kusimamia Usalama wa Taarifa
Kurekebisha na kusimamia Miundombinu ya Uunganishaji Mtandao
Masuala ya Kiufundi
Zifuatazo ni Huduma za Masuala ya Kiufundi zinazotolewa na Kitengo cha TEHAMA ndani ya Hospitali ya Arusha Jiji. Huduma hizi zinajumuisha kama zifuatazo;
Kurekebisha Miundombinu ya Tehama
Kurekebisha na kutengeneza Vifaa vilivyopata shida
Kusimamia Miundombinu ya Kiufundi
Kutoa Ripoti ya Kiufundi
Maoni
Tafadhali Andika Maoni Yako
Tafadhali Andika Maoni Yako Hapa kwa Ajira ya Kuboresha Huduma. Karibu sana!!