Loading...

Kitengo Wateja wa Nje (OPD)

Kutana na Kitengo Wagonjwa wa Nje
Image

Goodluck Njile


Mkuu wa Kitengo Wagonjwa wa Nje

( +255 ) 756 645 129


A. Uwajibikaji Katika Kazi:

Dr. Goodluck Njile anawajibika kama Mkuu Kitengo cha OPD katika Hospitali ya Jiji la Arusha. Mwenye uzoefu wa kutosha katika masuala yanayohusu Huduma kwa Wagonjwa wa Nje. Anahakikisha malengo ya hospitali ya Jiji la Arusha yanatimizwa hasa yale yanayohusu taaluma ya Udaktari katika ufanisi unaohitajika.


B. Maisha Nje ya Ofisi:

Nje ya Ofisi, maisha ya Dr. Njile huwa anajihusisha na masuala yanayohusu kujitolea katika jamii yakijumuisha kufurahi pamoja na jamii ili kuimarisha furaha katika jamii kwa lengo la kuleta tija katika jamii. Pia, huwa ni mdau katika kutatua changamoto mbalimbali zinazotokea katika jamii kwa ushirikiano wa wadau wengine.

Image

Seuri Mollel


Daktari (MD)

( +255 ) 756 182 836


A. Uwajibikaji Katika Kazi:

Dr. Seuri Mollel anawajibika kama Afisa Tabibu katika Hospitali ya Jiji la Arusha. Mwenye uzoefu wa kutosha katika masuala yanayohusu Udaktari. Anahakikisha malengo ya hospitali ya Jiji la Arusha yanatimizwa hasa yale yanayohusu taaluma ya Udaktari katika ufanisi unaohitajika.


B. Maisha Nje ya Ofisi:

Nje ya Ofisi, maisha ya Dr. Mollel huwa anajihusisha na masuala yanayohusu kujitolea katika jamii yakijumuisha kufurahi pamoja na jamii ili kuimarisha furaha katika jamii kwa lengo la kuleta tija katika jamii. Pia, huwa ni mdau katika kutatua changamoto mbalimbali zinazotokea katika jamii kwa ushirikiano wa wadau wengine.

Image

Jesca Bukuku


Afisa Tabibu (CO)

( +255 ) 682 600 746


A. Uwajibikaji Katika Kazi:

Dr. Jescah Bukuku anawajibika kama Afisa Tabibu katika Hospitali ya Jiji la Arusha. Mwenye uzoefu wa kutosha katika masuala yanayohusu Afisa Tabibu. Anahakikisha malengo ya hospitali ya Jiji la Arusha yanatimizwa hasa yale yanayohusu taaluma ya Udaktari katika ufanisi unaohitajika.


B. Maisha Nje ya Ofisi:

Nje ya Ofisi, maisha ya Dr. Jescah huwa anajihusisha na masuala yanayohusu kujitolea katika jamii yakijumuisha kufurahi pamoja na jamii ili kuimarisha furaha katika jamii kwa lengo la kuleta tija katika jamii. Pia, huwa ni mdau katika kutatua changamoto mbalimbali zinazotokea katika jamii kwa ushirikiano wa wadau wengine.

Image

Mohamed Gulleth


Afisa Tabibu (CO)


A. Uwajibikaji Katika Kazi:

Dr. Mohamed Gulleth anawajibika kama Afisa Tabibu katika Hospitali ya Jiji la Arusha. Mwenye uzoefu wa kutosha katika masuala yanayohusu Afisa Tabibu. Anahakikisha malengo ya hospitali ya Jiji la Arusha yanatimizwa hasa yale yanayohusu taaluma ya Udaktari katika ufanisi unaohitajika.


B. Maisha Nje ya Ofisi:

Nje ya Ofisi, maisha ya Dr. Gulleth huwa anajihusisha na masuala yanayohusu kujitolea katika jamii yakijumuisha kufurahi pamoja na jamii ili kuimarisha furaha katika jamii kwa lengo la kuleta tija katika jamii. Pia, huwa ni mdau katika kutatua changamoto mbalimbali zinazotokea katika jamii kwa ushirikiano wa wadau wengine.

Wadau Wetu

Tafadhali Andika Maoni Yako

Tafadhali Andika Maoni Yako Hapa kwa Ajira ya Kuboresha Huduma. Karibu sana!!