Loading...

Huduma za Upasuaji & Mazoezi Viungo.

Huduma za Upasuaji & Mazoezi Viungo.

Hospitali ya Arusha Jiji inajumuisha Huduma za Upasuaji na Mazoezi ya Viungo. Huduma hizi zinatolewa na wataalamu wetu wabobezi katika ufanisi wa hali ya juu kwa wagonjwa wetu wanaofika kupata Huduma. Huduma hizi ni pamoja na zifuatazo;

1. HUDUMA ZA UPASUAJI

Hospitali ya Arusha Jiji ina wataalamu Wabobezi katika Huduma ya Masuala ya Upasuaji kwa wagonjwa mbalimbali katika jamii. Baadhi ya Huduma za Upasuaji zinazofanyika katika Hospitali ya Arusha Jiji ni pamoja na zifuatazo;

  • ENT Procedure
  • Gaenacological Procedure
  • Caesarean Section Procedure
  • General Procedure

Miongoni mwa Takwimu za Huduma ya Upasuaji inayotolewa katika Hospitali ya Jiji la Arusha kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi inajumuisha zifuatazo;

Kitengo / Mwaka
2021 (Wagonjwa)
2022 (Wagonjwa)
2023 (Wagonjwa)
2024 (Wagonjwa)
ENT Procedure 1483 3831 3881 964
Gaenacological 9887 20828 29016 7859
Caesarean 174 1148 1653 410

Hospitali ya Jiji la Arusha inatoa Huduma za Upasuaji kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi. Huduma bora kwa kuzingatia utaalamu wa kutosha ili kuleta matokeo bora kwa wapokea huduma kutoka kwetu


2. HUDUMA ZA MAZOEZI YA VIUNGO

Hospitali ya Arusha Jiji ina wataalamu Wabobezi katika Huduma ya Mazoezi ya Viungo kwa wagonjwa mbalimbali katika jamii. Baadhi ya Huduma za Mazoezi ya Viungo zinazofanyika katika Hospitali ya Arusha Jiji ni pamoja na zifuatazo;

  • Kutibu Matatizo ya Viungo
  • Kutibu Matatizo ya Mwili Mzima
  • Ushauri wa Mazoezi ya Viungo
  • Kutoa Ripoti ya Matatizo ya Viungo

Miongoni mwa Takwimu za Huduma ya Mazoezi ya Viungo inayotolewa katika Hospitali ya Jiji la Arusha kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi inajumuisha zifuatazo;

Kitengo / Mwaka
2021 (Wagonjwa)
2022 (Wagonjwa)
2023 (Wagonjwa)
2024 (Wagonjwa)
Wajawazito 1483 3831 3881 964
Wagonjwa wa Nje (OPD) 9887 20828 29016 7859
Wazazi 174 1148 1653 410

Hospitali ya Jiji la Arusha inatoa Huduma za Mazoezi ya Viungo kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi. Huduma bora kwa kuzingatia utaalamu wa kutosha ili kuleta matokeo bora kwa wapokea huduma kutoka kwetu


Tafadhali Andika Maoni Yako

Tafadhali Andika Maoni Yako Hapa kwa Ajira ya Kuboresha Huduma. Karibu sana!!