Loading...

Ustawi wa Jamii

Ustawi wa Jamii
Bima ya Mfuko wa NHIF [ Vigezo ]

Vifuatavyo ni Vigezo zinavyomuelezea Mgonjwa anayepatiwa Huduma ya Afya kwa kutumia Bima ya Mfuko wa NHIF;


  • Gharama zote za Mgonjwa zinafidiwa kwenye Bima ya Mfuko wa NHIF

  • Mteja anahesabika kupata tiba kwa kutumia Mfuko wa Bima ya NHIF

  • Mgonjwa haingii gharama yoyote kwa ajili ya kupata matibabu

# Viambatanisho Wanufaika NHIF

Vifuatavyo ni Viambatanisho kwa Wanufaika wa Bima ya NHIF;

- Bima NHIF Vifurushi

- Fomu Usajili NHIF [Mwanafunzi]

- Fomu Usajili NHIF [Mwanachama Mpya 1A]

- Fomu Usajili NHIF [Mstaafu]

Msamaha wa malipo [ Vigezo ]

Vifuatavyo ni Vigezo vya Matibabu kwa Mgonjwa mwenye msamaha wa malipo


  • Wagonjwa wenye Umri zaidi ya Miaka 60

  • Watoto chini ya Miaka 5

  • Mgonjwa haingii Gharama yoyote kutoka Mfukoni kwake

  • Gharama zote zinafidiwa katika Msamaha wa malipo

# Viambatanisho Wanufaika MSAHAMA MALIPO

Vifuatavyo ni Viambatanisho kwa Wanufaika wa MSAMAHA Mwa Malipo;

- Msamaha Vigezo

- Msamaha [Miaka 60+]

- Msamaha [Chini ya Miaka 5]

- Msamaha [Walemavu]

1. Miongoni mwa Takwimu za Huduma ya Bima ya Mfuko wa NHIF inayotolewa katika Hospitali ya Jiji la Arusha kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi inajumuisha zifuatazo;

Kitengo / Mwaka
2021 (Wagonjwa)
2022 (Wagonjwa)
2023 (Wagonjwa)
2024 (Wagonjwa)
Wajawazito 1483 3831 3881 964
Wagonjwa wa Nje (OPD) 9887 20828 29016 7859
Wazazi 174 1148 1653 410

2. Miongoni mwa Takwimu za Huduma ya Msamaha wa Malipo inayotolewa katika Hospitali ya Jiji la Arusha kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi inajumuisha zifuatazo;

Kitengo / Mwaka
2021 (Wagonjwa)
2022 (Wagonjwa)
2023 (Wagonjwa)
2024 (Wagonjwa)
Wajawazito 1483 3831 3881 964
Wagonjwa wa Nje (OPD) 9887 20828 29016 7859
Wazazi 174 1148 1653 410

Tafadhali Andika Maoni Yako

Tafadhali Andika Maoni Yako Hapa kwa Ajira ya Kuboresha Huduma. Karibu sana!!