Loading...

Kitengo cha Mionzi

Kutana na Kitengo cha Mionzi
Image

Japhet Mkilya


Mtaalamu Mionzi

( +255 ) 766 909 822


A. Uwajibikaji Katika Kazi:

Mr. Gadiel Lukumay anawajibika kama Daktari Mkuu Kitengo cha Mionzi wa Hospitali ya Jiji la Arusha. Mwenye uzoefu wa kutosha katika masuala yanayohusu Udaktari wa Mionzi. Anahakikisha malengo ya hospitali ya Jiji la Arusha yanatimizwa hasa yale yanayohusu taaluma ya Udaktari wa Meno katika ufanisi unaohitajika.


B. Maisha Nje ya Ofisi:

Nje ya Ofisi, maisha ya Mr. Gadiel huwa anajihusisha na masuala yanayohusu kujitolea katika jamii yakijumuisha kufurahi pamoja na jamii ili kuimarisha furaha katika jamii kwa lengo la kuleta tija katika jamii. Pia, huwa ni mdau katika kutatua changamoto mbalimbali zinazotokea katika jamii kwa ushirikiano wa wadau wengine.

Wadau Wetu

Tafadhali Andika Maoni Yako

Tafadhali Andika Maoni Yako Hapa kwa Ajira ya Kuboresha Huduma. Karibu sana!!