Loading...

Huduma ya Mama na Mtoto.

Huduma ya Mama na Mtoto.

HUDUMA YA MAMA NA MTOTO katika Hospitali ya Jiji la Arusha ilianzishwa mnamo Mwezi Mei, 2021 iliyotolewa kwa wagonjwa kutoka kwa wataalamu wetu kwa ufanisi wa hali ya juu. Hospitali ya Jiji la Arusha inatoa Huduma ya Mama na Mtoto kwa ubora wa hali ya juu kwa kutumia wataalamu wetu wabobezi. Huduma za mama na mtoto zikijumuisha mambo yafuatayo;

1. HUDUMA YA MAMA NA MTOTO

Hospitali ya Jiji la Arusha inatoa Huduma ya Uzazi kwa ubora wa hali ya juu ikijumuisha Masuala Mbalimbali kama yafuatayo;

  • Huduma za Ushauri ya Uzazi
  • Huduma ya Matibabu ya Uzazi
  • Huduma ya Uzazi kabla na baada ya Kujifungua

Miongoni mwa Takwimu za Huduma za Uzazi zinazotolewa katika Hospitali ya Jiji la Arusha kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi zinajumuisha kama ifuatavyo;

Kitengo / Mwaka
2021 (Wagonjwa)
2022 (Wagonjwa)
2023 (Wagonjwa)
2024 (Wagonjwa)
Wajawazito 1483 3831 3881 964
Wagonjwa wa Nje (OPD) 9887 20828 29016 7859
Wazazi 174 1148 1653 410

Huduma ya Uzazi inatolewa katika Hospitali ya Jiji la Arusha kwa wapokea Huduma wote mara Kabla na Baada ya kujifungua kwa ubora wa hali ya juu kutoka kwa wataalmau wetu wabobezi ili kuhakikisha huduma bora zinatolewa kulingana na viwango vinavyohitajika na Wizara ya Afya Tanzania.

Huduma ya Uzazi inatolewa katika Hospitali ya Jiji la Arusha inajumuisha Matumizi ya Utaalamu wa hali ya juu kutoka kwa Wabobezi wetu kwa kutumia rasilimali zenye Ubora ili kuhakikisha Huduma bora inatolewa kwa wapokea huduma kama ifuatavyo;

  • 20+ Wauguzi, Idadi ya kutosha ya Wauguzi na miundombinu saidizi ya kutosha
  • 10+ Matabibu Idadi ya kutosha ya Matabibu na Madaktari wabobezi katika utoaji wa huduma kwa wapokea Huduma
  • 150+ Samani Upatikanaji wa Samani na vitendea kazi vya kutosha katika kuhakikisha Huduma bora inatolewa kwa wapokea huduma
  • 24/7 Huduma Masaa. Huduma Bora inatolewa kwa Masaa 24 kutoka Hospitali ya jiji la Arusha
  • Huduma Bora kwa Wateja Huduma bora kutoka kwa wataalamu wetu inatolewa katika kuhakikisha Mpokea huduma anafurahia Huduma zetu
  • Usalama wa Hali ya Juu, Pia Huduma ya Usalama wa hali ya juu inapatikana katika Hospitali ya Jiji la Arusha katika kuhakikisha Huduma Bora inatolewa kwa wapokea huduma

2. HUDUMA ZA UZAZI WA MPANGO (RCH)

Huduma ya Uzazi wa Mpango (RCH) inatolewa katika Hospitali ya jiji la Arusha kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi ikijumuisha Masuala Mbalimbali kama yafuatayo;

Miongoni mwa Takwimu za Huduma za Uzazi wa Mpango (RCH) zinazotolewa katika Hospitali ya Jiji la Arusha kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi zinajumuisha kama ifuatavyo;

Mwezi
2021 (Wagonjwa)
2022 (Wagonjwa)
2023 (Wagonjwa)
2024 (Wagonjwa)
Januari 23 12 2, 31 21
Februari 22 11 --- 19
Machi 23 12 2, 31 21
Aprili 22 11 30 19
Mei 22 11 29 19
Juni 20 9 28 17
Julai 19 9 27 17
Agosti 18 7 26 15
Septemba 16 6 25 14
Oktoba 15 5 24 14
Novemba 14 4 23 12
Disemba 13 3 22 12

Huduma ya Uzazi wa Mpango (RCH) inatolewa katika Hospitali ya Jiji la Arusha kwa wapokea Huduma wote mara Kabla na Baada ya kujifungua kwa ubora wa hali ya juu kutoka kwa wataalmau wetu wabobezi ili kuhakikisha huduma bora zinatolewa kulingana na viwango vinavyohitajika na Wizara ya Afya Tanzania.

3. LISHE KWA WAJAWAZITO

Huduma ya Lishe kwa wajawazito inatolewa na wataalamu wetu wabobezi ikihusisha mabo mbalimbali kama yafuatayo;

Miongoni mwa Takwimu za Huduma ya Lishe kwa wajawazito inayotolewa katika Hospitali ya Jiji la Arusha kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi inajumuisha zifuatazo;

Mwezi
2021 (Wagonjwa)
2022 (Wagonjwa)
2023 (Wagonjwa)
2024 (Wagonjwa)
Januari 23 12 2, 31 21
Februari 22 11 --- 19
Machi 23 12 2, 31 21
Aprili 22 11 30 19
Mei 22 11 29 19
Juni 20 9 28 17
Julai 19 9 27 17
Agosti 18 7 26 15
Septemba 16 6 25 14
Oktoba 15 5 24 14
Novemba 14 4 23 12
Disemba 13 3 22 12

Hospitali ya Jiji la Arusha inatoa Huduma za Lishe kwa Wajawazito Mara Kabla na Baada ya Mjamzito kujifungua kwa kutumia wataalamu wetu wabobezi. Huduma bora kwa kuzingatia utaalamu wa kutosha ili kuleta matokeo bora kwa wapokea huduma kutoka kwetu

Tafadhali Andika Maoni Yako

Tafadhali Andika Maoni Yako Hapa kwa Ajira ya Kuboresha Huduma. Karibu sana!!