Loading...

Ustawi Wa Jamii

Ustawi Wa Jamii
Malipo ya Papo Hapo [ Vigezo ]

Vifuatavyo ni vigezo vya Huduma kwa Wagonjwa wanaingia Gharama za Malipo ya Papo hapo;


  • Mgonjwa wa Rufaa na Asiye na Rufaa

  • Malipo bila kuzingatia Huduma za Bima

  • Mgonjwa analipia huduma zote

  • Mgonjwa anaingia gharama zote za matibabu

Bima CHF [ Vigezo ]

Zifuatazo ni Vigezo vya Huduma ya matibabu kwa Wagonjwa wanaopatiwa Matibabu kupitia Bima ya CHF;


  • Bima ya Mfuko wa Jamii

  • Wagonjwa wa Bima

  • Malipo yanafanyika kupitia Bima

  • Gharama zinafanyika kwa kuzingatia aina ya Bima ya Mfuko wa Jamii

2. Miongoni mwa Takwimu za Huduma ya Malipo ya Papo kwa Hapo inayotolewa katika Hospitali ya Jiji la Arusha kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi inajumuisha zifuatazo;

Kitengo / Mwaka
2021 (Wagonjwa)
2022 (Wagonjwa)
2023 (Wagonjwa)
2024 (Wagonjwa)
Wajawazito 1483 3831 3881 964
Wagonjwa wa Nje (OPD) 9887 20828 29016 7859
Wazazi 174 1148 1653 410

2. Miongoni mwa Takwimu za Huduma ya Mfuko wa CHF inayotolewa katika Hospitali ya Jiji la Arusha kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi inajumuisha zifuatazo;

Kitengo / Mwaka
2021 (Wagonjwa)
2022 (Wagonjwa)
2023 (Wagonjwa)
2024 (Wagonjwa)
Wajawazito 1483 3831 3881 964
Wagonjwa wa Nje (OPD) 9887 20828 29016 7859
Wazazi 174 1148 1653 410

Tafadhali Andika Maoni Yako

Tafadhali Andika Maoni Yako Hapa kwa Ajira ya Kuboresha Huduma. Karibu sana!!