Loading...

Kitengo cha Wagonjwa wa Ndani.

Kutana na Kitengo cha Wagonjwa wa Ndani
Image

Dr. Diana Ngahatilwa


Mkuu wa Kitengo IPD

( +255 ) 712 037 770


A. Uwajibikaji Katika Kazi:

Dr. Diana Ngahatilwa anawajibika kama Daktari Mkuu Kitengo cha Wagonjwa wa Ndani katika Hospitali ya Jiji la Arusha. Mwenye uzoefu wa kutosha katika masuala yanayohusu Udaktari. Anahakikisha malengo ya hospitali ya Jiji la Arusha yanatimizwa hasa yale yanayohusu taaluma ya Udaktari katika ufanisi unaohitajika.


B. Maisha Nje ya Ofisi:

Nje ya Ofisi, maisha ya Dr. Diana huwa anajihusisha na masuala yanayohusu kujitolea katika jamii yakijumuisha kufurahi pamoja na jamii ili kuimarisha furaha katika jamii kwa lengo la kuleta tija katika jamii. Pia, huwa ni mdau katika kutatua changamoto mbalimbali zinazotokea katika jamii kwa ushirikiano wa wadau wengine.

Image

Yohana Mjatta


Afisa Tabibu (CO)

( +255 ) 743 754 619


A. Uwajibikaji Katika Kazi:

Dr. Yohana Mjatta anawajibika kama Afisa Tabibu katika Hospitali ya Jiji la Arusha. Mwenye uzoefu wa kutosha katika masuala yanayohusu Afisa Tabibu. Anahakikisha malengo ya hospitali ya Jiji la Arusha yanatimizwa hasa yale yanayohusu taaluma ya Udaktari katika ufanisi unaohitajika.


B. Maisha Nje ya Ofisi:

Nje ya Ofisi, maisha ya Dr. Yohana huwa anajihusisha na masuala yanayohusu kujitolea katika jamii yakijumuisha kufurahi pamoja na jamii ili kuimarisha furaha katika jamii kwa lengo la kuleta tija katika jamii. Pia, huwa ni mdau katika kutatua changamoto mbalimbali zinazotokea katika jamii kwa ushirikiano wa wadau wengine.

Image

Bilha Melitha


Muugizi Mfawidhi

( +255 ) 684 046 584


A. Uwajibikaji Katika Kazi:

Miss. Bilha Melitha anawajibika kama Muuguzi Mfawidhi katika Hospitali ya Jiji la Arusha. Mwenye uzoefu wa kutosha katika masuala yanayohusu Uuguzi. Anahakikisha malengo ya hospitali ya Jiji la Arusha yanatimizwa hasa yale yanayohusu taaluma ya Udaktari katika ufanisi unaohitajika.


B. Maisha Nje ya Ofisi:

Nje ya Ofisi, maisha ya Miss Melitha huwa anajihusisha na masuala yanayohusu kujitolea katika jamii yakijumuisha kufurahi pamoja na jamii ili kuimarisha furaha katika jamii kwa lengo la kuleta tija katika jamii. Pia, huwa ni mdau katika kutatua changamoto mbalimbali zinazotokea katika jamii kwa ushirikiano wa wadau wengine.

Wadau Wetu

Tafadhali Andika Maoni Yako

Tafadhali Andika Maoni Yako Hapa kwa Ajira ya Kuboresha Huduma. Karibu sana!!