Loading...

Kitengo cha Fedha na Mipango

Kutana na Kitengo Fedha
Image

Festo Mlawa


Mhasibu wa Hospitali

( +255 ) 753 851 543


A. Uwajibikaji Katika Kazi:

Mr. Festo Mlawa anawajibika kama Mhasibu wa Hospitali ya Jiji la Arusha. Mwenye uzoefu wa kutosha katika masuala yanayohusu Uhasibu. Anahakikisha malengo ya hospitali ya Jiji la Arusha yanatimizwa hasa yale yanayohusu taaluma ya fedha katika ufanisi unaohitajika.


B. Maisha Nje ya Ofisi:

Nje ya Ofisi, maisha ya Mr. Festo huwa anajihusisha na masuala yanayohusu kujitolea katika jamii yakijumuisha kufurahi pamoja na jamii ili kuimarisha furaha katika jamii kwa lengo la kuleta tija katika jamii. Pia, huwa ni mdau katika kutatua changamoto mbalimbali zinazotokea katika jamii kwa ushirikiano wa wadau wengine.

Wadau Wetu

Tafadhali Andika Maoni Yako

Tafadhali Andika Maoni Yako Hapa kwa Ajira ya Kuboresha Huduma. Karibu sana!!