Hospitali ya Jiji la Arusha inatoa Huduma za Mionzi Tiba Ultra Sound kutoka kwa Wataalamu wetu wabobezi katika kuhakikisha Huduma bora za matibabu zinatolewa kwa wapokea huduma
1. HUDUMA ZA MIONZI TIBA ULTRA SOUND
Hospitali ya Arusha Jiji ina wataalamu Wabobezi katika Huduma ya Mionzi Tiba Ultra Sound kwa wagonjwa mbalimbali katika jamii. Baadhi ya Huduma za Mionzi Tiba Ultra Sound zinazofanyika katika Hospitali ya Arusha Jiji ni pamoja na zifuatazo;
Miongoni mwa Takwimu za Huduma ya Mionzi Tiba Ultra Sound inayotolewa katika Hospitali ya Jiji la Arusha kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi inajumuisha zifuatazo;
Kitengo / Mwaka
|
2021 (Wagonjwa)
|
2022 (Wagonjwa)
|
2023 (Wagonjwa)
|
2024 (Wagonjwa)
|
Wajawazito | 1483 | 3831 | 3881 | 964 |
Wagonjwa wa Nje (OPD) | 9887 | 20828 | 29016 | 7859 |
Wazazi | 174 | 1148 | 1653 | 410 |
Hospitali ya Jiji la Arusha inatoa Huduma za Mionzi Tiba Ultra Sound kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi. Huduma bora kwa kuzingatia utaalamu wa kutosha ili kuleta matokeo bora kwa wapokea huduma kutoka kwetu
Tafadhali Andika Maoni Yako Hapa kwa Ajira ya Kuboresha Huduma. Karibu sana!!