Loading...

Huduma za Vipimo & Ushauri

Huduma za Vipimo & Ushauri

Hospitali ya Arusha Jiji, kuna huduma mbalimbali za Matibabu zinazotolewa na Wataalamu wetu wabobezi katika ufanisi wa hali ya juu kama zifuatazo;

1. HUDUMA YA UPIMAJI

Hospitali ya Arusha Jiji ina wataalamu Wabobezi katika Huduma ya Upimaji Magonjwa mbalimbali kwa wagonjwa mbalimbali katika jamii. Baadhi ya Huduma za Upimaji zinazofanyika katika Hospitali ya Arusha Jiji ni pamoja na zifuatazo;

  • Widal Test
  • Brucella Test
  • Rheumatoid Factor
  • Sickling Test
  • Cryptococcus Ag Test
  • Blood Group
  • Cross Matching
  • Direct Coombs Test
  • In-Direct Coombs Test
  • Covid - 19 Ag Rapid Test
  • Syphillis
  • CD4
  • H Pylori (STOOL)
  • Total Protein
  • Sodium (Na)
  • Calcium (Ca)
  • Potassium (K)
  • Albumin
  • Alkaline Phosphatase (ALP)
  • High Viral Load (HVL)
  • Blood Urea Nitrogen ( BUN)
  • Createnine
  • Malaria Rapid Diagnosis Test ( MRDT )
  • Thyroid Stimulating Hormone ( TSH )
  • ESR
  • C-Reactive Protein ( CRP )
  • Testosterone
  • Cholestrol Total
  • Hepatatis B & C
  • Semen Analysis
  • Gram Stain


2. HUDUMA YA USHAURI

Hospitali ya Arusha Jiji ina wataalamu Wabobezi katika Huduma ya Ushauri kwa wagonjwa mbalimbali katika jamii. Baadhi ya Huduma za Ushauri ktika Masuala ya Afya zinazopatikana katika Hospitali ya Arusha Jiji ni pamoja na zifuatazo;

  • Ushauri katika Elimu ya Mazoezi ya Viungo
  • Ushauri katika Masuala ya Elimu ya Masuala ya Lishe
  • Ushauri wa Daktari kwa Ujumla
  • Ushauri wa Masuala ya Uzazi wa Mpango
  • Huduma Rafiki kwa Vijana / Ushauri Masuala ya Malezi

Miongoni mwa Takwimu za Huduma ya Wagonjwa wa Nje (OPD) inayotolewa katika Hospitali ya Jiji la Arusha kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi inajumuisha zifuatazo;

Kitengo / Mwaka
2021 (Wagonjwa)
2022 (Wagonjwa)
2023 (Wagonjwa)
2024 (Wagonjwa)
Wajawazito 1483 3831 3881 964
Wagonjwa wa Nje (OPD) 9887 20828 29016 7859
Wazazi 174 1148 1653 410

Hospitali ya Jiji la Arusha inatoa Huduma za Wagonjwa wa Nje (OPD) kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi. Huduma bora kwa kuzingatia utaalamu wa kutosha ili kuleta matokeo bora kwa wapokea huduma kutoka kwetu


Tafadhali Andika Maoni Yako

Tafadhali Andika Maoni Yako Hapa kwa Ajira ya Kuboresha Huduma. Karibu sana!!