Loading...

Ustawi Wa Jamii

Ustawi Wa Jamii
Bima ya Mfuko wa NHIF. [ Vigezo ]

Vifuatavyo ni Vigezo zinavyomuelezea Mgonjwa anayepatiwa Huduma ya Afya kwa kutumia Bima ya Mfuko wa NHIF;


  • Gharama zote za Mgonjwa zinafidiwa kwenye Bima ya Mfuko wa NHIF

  • Mteja anahesabika kupata tiba kwa kutumia Mfuko wa Bima ya NHIF

  • Mgonjwa haingii gharama yoyote kwa ajili ya kupata matibabu

# Viambatanisho Wanufaika NHIF

Vifuatavyo ni Viambatanisho kwa Wanufaika wa Bima ya NHIF;

- Bima NHIF Vifurushi

- Fomu Usajili NHIF [Mwanafunzi]

- Fomu Usajili NHIF [Mwanachama Mpya 1A]

- Fomu Usajili NHIF [Mstaafu]

Msamaha wa malipo [ Vigezo ]

Vifuatavyo ni Vigezo vya Matibabu kwa Mgonjwa mwenye msamaha wa malipo


  • Wagonjwa wenye Umri zaidi ya Miaka 60

  • Watoto chini ya Miaka 5

  • Mgonjwa haingii Gharama yoyote kutoka Mfukoni kwake

  • Gharama zote zinafidiwa katika Msamaha wa malipo

# Viambatanisho Wanufaika MSAHAMA MALIPO

Vifuatavyo ni Viambatanisho kwa Wanufaika wa MSAMAHA Mwa Malipo;

- Msamaha Vigezo

- Msamaha [Miaka 60+]

- Msamaha [Chini ya Miaka 5]

- Msamaha [Walemavu]

Malipo ya Papo Hapo [ Vigezo ]

Vifuatavyo ni vigezo vya Huduma kwa Wagonjwa wanaingia Gharama za Malipo ya Papo hapo;


  • Mgonjwa wa Rufaa na Asiye na Rufaa

  • Malipo bila kuzingatia Huduma za Bima

  • Mgonjwa analipia huduma zote

  • Mgonjwa anaingia gharama zote za matibabu

Bima CHF [ Vigezo ]

Zifuatazo ni Vigezo vya Huduma ya matibabu kwa Wagonjwa wanaopatiwa Matibabu kupitia Bima ya CHF;


  • Bima ya Mfuko wa Jamii

  • Wagonjwa wa Bima

  • Malipo yanafanyika kupitia Bima

  • Gharama zinafanyika kwa kuzingatia aina ya Bima ya Mfuko wa Jamii

1. Miongoni mwa Takwimu za Huduma ya Bima ya Mfuko wa NHIF inayotolewa katika Hospitali ya Jiji la Arusha kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi inajumuisha zifuatazo;

Kitengo / Mwaka
2021 (Wagonjwa)
2022 (Wagonjwa)
2023 (Wagonjwa)
2024 (Wagonjwa)
Wajawazito 1483 3831 3881 964
Wagonjwa wa Nje (OPD) 9887 20828 29016 7859
Wazazi 174 1148 1653 410

2. Miongoni mwa Takwimu za Huduma ya Msamaha wa malipo inayotolewa katika Hospitali ya Jiji la Arusha kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi inajumuisha zifuatazo;

Kitengo / Mwaka
2021 (Wagonjwa)
2022 (Wagonjwa)
2023 (Wagonjwa)
2024 (Wagonjwa)
Wajawazito 1483 3831 3881 964
Wagonjwa wa Nje (OPD) 9887 20828 29016 7859
Wazazi 174 1148 1653 410

3. Miongoni mwa Takwimu za Huduma ya Malipo ya Papo kwa Hapo inayotolewa katika Hospitali ya Jiji la Arusha kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi inajumuisha zifuatazo;

Kitengo / Mwaka
2021 (Wagonjwa)
2022 (Wagonjwa)
2023 (Wagonjwa)
2024 (Wagonjwa)
Wajawazito 1483 3831 3881 964
Wagonjwa wa Nje (OPD) 9887 20828 29016 7859
Wazazi 174 1148 1653 410

4. Miongoni mwa Takwimu za Huduma ya Mfuko wa CHF inayotolewa katika Hospitali ya Jiji la Arusha kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi inajumuisha zifuatazo;

Mwezi
2021 (Wagonjwa)
2022 (Wagonjwa)
2023 (Wagonjwa)
2024 (Wagonjwa)
Januari 23 12 2, 31 21
Februari 22 11 --- 19
Machi 23 12 2, 31 21
Aprili 22 11 30 19
Mei 22 11 29 19
Juni 20 9 28 17
Julai 19 9 27 17
Agosti 18 7 26 15
Septemba 16 6 25 14
Oktoba 15 5 24 14
Novemba 14 4 23 12
Disemba 13 3 22 12

Tafadhali Andika Maoni Yako

Tafadhali Andika Maoni Yako Hapa kwa Ajira ya Kuboresha Huduma. Karibu sana!!