Hospitali ya Jiji la Arusha inatoa Huduma za Upasuaji kutoka kwa Wataalamu wetu wabobezi katika kuhakikisha Huduma bora za matibabu zinatolewa kwa wapokea huduma
1. HUDUMA ZA UPASUAJI
Hospitali ya Arusha Jiji ina wataalamu Wabobezi katika Huduma ya Masuala ya Upasuaji kwa wagonjwa mbalimbali katika jamii. Baadhi ya Huduma za Upasuaji zinazofanyika katika Hospitali ya Arusha Jiji ni pamoja na zifuatazo;
Miongoni mwa Takwimu za Huduma ya Upasuaji inayotolewa katika Hospitali ya Jiji la Arusha kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi inajumuisha zifuatazo;
Kitengo / Mwaka
|
2021 (Wagonjwa)
|
2022 (Wagonjwa)
|
2023 (Wagonjwa)
|
2024 (Wagonjwa)
|
ENT Procedure | 1483 | 3831 | 3881 | 964 |
Gaenacological | 9887 | 20828 | 29016 | 7859 |
Caesarean | 174 | 1148 | 1653 | 410 |
Hospitali ya Jiji la Arusha inatoa Huduma za Upasuaji kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi. Huduma bora kwa kuzingatia utaalamu wa kutosha ili kuleta matokeo bora kwa wapokea huduma kutoka kwetu
Tafadhali Andika Maoni Yako Hapa kwa Ajira ya Kuboresha Huduma. Karibu sana!!