Hospitali ya Jiji la Arusha inatoa Huduma za Wagonjwa wa Nje (OPD) kutoka kwa Wataalamu wetu wabobezi katika kuhakikisha Huduma bora za matibabu zinatolewa kwa wapokea huduma
1. HUDUMA ZA WAGONJWA WA NJE
Hospitali ya Arusha Jiji ina wataalamu Wabobezi katika Huduma ya Wagonjwa wa Nje (OPD) kwa wagonjwa mbalimbali katika jamii. Baadhi ya Huduma za Wagonjwa wa Nje (OPD) zinazofanyika katika Hospitali ya Arusha Jiji ni pamoja na zifuatazo;
Miongoni mwa Takwimu za Huduma ya Wagonjwa wa Nje (OPD) inayotolewa katika Hospitali ya Jiji la Arusha kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi inajumuisha zifuatazo;
Kitengo / Mwaka
|
2021 (Wagonjwa)
|
2022 (Wagonjwa)
|
2023 (Wagonjwa)
|
2024 (Wagonjwa)
|
Miaka 5 Chini | 202 | 1661 | 178 | 689 |
Miaka 60 Chini | 202 | 178 | 331 | 68 |
Miaka 60 Zaidi | 202 | 178 | 331 | 68 |
Hospitali ya Jiji la Arusha inatoa Huduma za Wagonjwa wa Nje (OPD) kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi. Huduma bora kwa kuzingatia utaalamu wa kutosha ili kuleta matokeo bora kwa wapokea huduma kutoka kwetu
Tafadhali Andika Maoni Yako Hapa kwa Ajira ya Kuboresha Huduma. Karibu sana!!