Loading...

Huduma za Wagonjwa wa Ndani. (IPD)

Huduma za Wagonjwa wa Ndani (IPD)

Hospitali ya Jiji la Arusha inatoa Huduma za Wagonjwa wa Ndani (IPD) kutoka kwa Wataalamu wetu wabobezi katika kuhakikisha Huduma bora za matibabu zinatolewa kwa wapokea huduma

1. HUDUMA ZA WAGONJWA WA NDANI. (IPD)

Hospitali ya Arusha Jiji ina wataalamu Wabobezi katika Huduma ya Wagonjwa wa Ndani (IPD) kwa wagonjwa mbalimbali katika jamii. Baadhi ya Huduma za Wagonjwa wa Ndani (IPD) zinazofanyika katika Hospitali ya Arusha Jiji ni pamoja na zifuatazo;

  • Huduma ya Wadi za Wazazi
  • Ushauri katika Masuala ya Elimu ya Masuala ya Lishe
  • Ushauri wa Daktari kwa Ujumla
  • Ushauri wa Masuala ya Uzazi wa Mpango
  • Huduma Rafiki kwa Vijana / Ushauri Masuala ya Malezi
  • Huduma za Upimaji ( Maabara )
  • Huduma za Famasia (Dawa)

Miongoni mwa Takwimu za Huduma ya Wagonjwa wa Ndani (IPD) inayotolewa katika Hospitali ya Jiji la Arusha kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi inajumuisha zifuatazo;

Kitengo / Mwaka
2021 (Wagonjwa)
2022 (Wagonjwa)
2023 (Wagonjwa)
2024 (Wagonjwa)
Idadi Vitanda 20 22 36 52
Waliolazwa 49 67 128 170
Uwezo Vitanda 46 74 129 410

Hospitali ya Jiji la Arusha inatoa Huduma za Wagonjwa wa Ndani (IPD) kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi. Huduma bora kwa kuzingatia utaalamu wa kutosha ili kuleta matokeo bora kwa wapokea huduma kutoka kwetu

Tafadhali Andika Maoni Yako

Tafadhali Andika Maoni Yako Hapa kwa Ajira ya Kuboresha Huduma. Karibu sana!!