Loading...

Kliniki ya Macho

Kliniki ya Macho

Hospitali ya Jiji la Arusha inatoa Huduma za Kliniki ya Macho kutoka kwa Wataalamu wetu wabobezi katika kuhakikisha Huduma bora za matibabu zinatolewa kwa wapokea huduma

1. KLINIKI YA MACHO

Hospitali ya Arusha Jiji ina wataalamu Wabobezi katika Tiba ya Huduma za Macho kwa wagonjwa mbalimbali katika jamii. Miongoni mwa Huduma zinazotolewa kitengo cha Macho ni pamoja na zifuatazo;

  • Kutoa Ushauri wa Afya ya Macho
  • Kupima Macho (Afya ya Macho)
  • Kupima Uwezo wa Kuona
  • Kutibu Magonjwa mbalimbali ya Macho
  • Kupima Presha ya Macho

Miongoni mwa Takwimu za Huduma ya Kliniki ya Macho inayotolewa katika Hospitali ya Jiji la Arusha kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi inajumuisha zifuatazo;

Kitengo / Mwaka
2021 (Wagonjwa)
2022 (Wagonjwa)
2023 (Wagonjwa)
2024 (Wagonjwa)
Chini Miaka 5 39 52 178 962
Chini Miaka 15 53 49 83 156
Zaidi Miaka 15 127 201 345 410

Hospitali ya Jiji la Arusha inatoa Huduma za Kliniki ya Macho kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi. Huduma bora kwa kuzingatia utaalamu wa kutosha ili kuleta matokeo bora kwa wapokea huduma kutoka kwetu

Tafadhali Andika Maoni Yako

Tafadhali Andika Maoni Yako Hapa kwa Ajira ya Kuboresha Huduma. Karibu sana!!