Kitengo Upasuaji

  • Afya
  • Matibabu

Neema Munisi, Mkuu Kitengo Upasuaji

(+255) 765 602 505

Miss. Neema Munisi ni miongoni mwa watu wenye maono na kutekeleza majukumu ya kazi katika kuhakikisha malengo ya Hospitali ya Jiji Arusha yanafanikiwa yakiwemo katika kutoa huduma yenye ubora wa hali ya juu. Anaamini katika ushirikiano na watumishi wengine ili kuboresha ubora wa huduma zinazotolewa katika hospitali ya Jiji Arusha

Bertha Shija, Mtaalamu Dawa ya Usingizi

(+255)

Miss. Bertha Shija ni miongoni mwa watu wenye maono na kutekeleza majukumu ya kazi katika kuhakikisha malengo ya Hospitali ya Jiji Arusha yanafanikiwa yakiwemo katika kutoa huduma yenye ubora wa hali ya juu. Anaamini katika ushirikiano na watumishi wengine ili kuboresha ubora wa huduma zinazotolewa katika hospitali ya Jiji Arusha

Wasiliana Nasi

(+255) 682 136 704

Tuma Ujumbe

ach@arushacc.go.tz

Eneo Tulipo

Njiro, Contenna. S.L.P 3013 Arusha. TANZANIA