Masuala ya Software

Admin

Masuala ya Computer Software

Miongoni mwa huduma zinazotolewa na Kitengo cha TEHAMA katika Hospitali ya Jiji Arusha ni pamoja na Masuala ya Computer Software ambazo zinazingatia ubora kwa wapokea huduma

Admin

Masuala ya Server Software

Pia huduma za Software Server zinatolewa na kitengo cha TEAHAM katika hospitali ya Jiji Arusha kwa kuzingatia ubora kwa ufanisi wa hali ya juu

Admin

Masuala Mengine ya Software

Pia, Masuala mengine yanayohusiana na Software ni miongoni mwa huduma zinazotloewa na Kitengo cha TEHAMA kwa kuzingatia ubora wa huduma katika ufanisi wa hali ya juu

Mpya

Wasiliana Nasi

(+255) 682 136 704

Tuma Ujumbe

ach@arushacc.go.tz

Eneo Tulipo

Njiro, Contenna. S.L.P 3013 Arusha. TANZANIA