Huduma ya Uzazi
Hospitali ya Jiji Arusha inatoa pia Huduma mbalimbali za Uzazi kupitia wataalamu wetu wenye uzoefu wa kutosha katika kuhakikisha ubora wa huduma unapatikana zikiwemo;
Huduma za Watoto
- Operation services
- Delivery services
- Family Planning Consultation / Education services
Huduma za Watu Wazima
- Operation services
- Delivery services
- Family Planning Consultation / Education services