Masuala ya Computer Hardware
Kitengo cha TEHAMA kinatoa huduma za Masuala ya Computer Hardware kwa kuzingatia ubora wa hali ya juu kwa kipindi zinapohitajika
Kitengo cha TEHAMA kinatoa huduma za Masuala ya Computer Hardware kwa kuzingatia ubora wa hali ya juu kwa kipindi zinapohitajika
Miongoni mwa huduma zinazotolewa katika kitengo cha TEHAMA katika hospitali ya Jiji Arusha ni pamoja na kufanya marekebisho katika Hardware zinazohusu mazingira ya Server
Pia, huduma nyingine zinazohusiana na Masuala ya Hardware ndani ya Hospitali ya Jiji Arusha zinatolewa na kitengo cha TEHAMA kwa kuzingatia ubora wa hali ya juu
(+255) 682 136 704
ach@arushacc.go.tz
Njiro, Contenna. S.L.P 3013 Arusha. TANZANIA