Huduma Wodi ya Wazazi
Hospitali ya Jiji Arusha inatoa Huduma mbalimbali za Wodi ya Wazazi kutoka kwa wataalamu wetu wenye uzoefu wa kutosha katika kuhakikisha ubora wa huduma unapatikana zikiwemo;
Huduma za Watoto
- Operation services
- Delivery services
- Family Planning Consultation / Education services
Huduma za Watu Wazima
- Operation services
- Delivery services
- Family Planning Consultation / Education services