Matibabu ya Meno

Matibabu ya Meno

Hospitali ya Jiji Arusha inatoa Huduma mbalimbali za Matibabu ya Meno kwa kutumia wataalamu wetu wenye uzoefu wa kutosha katika kuhakikisha huduma bora inapatikana zikiwemo zifuatazo;

Huduma za Watoto

  • Meno Bandia
  • Crown and Bridge
  • Orthodontic Removable Appliance
  • Mouth Guards
  • Tooth Gems / Tooth Jewely
  • Veneers
  • Dental X-Ray
  • Oral Screen
  • Habits Breaker
  • Flexible Denture

Huduma za Watu Wazima

  • Meno Bandia
  • Crown and Bridge
  • Orthodontic Removable Appliance
  • Mouth Guards
  • Tooth Gems / Tooth Jewely
  • Veneers
  • Dental X-Ray
  • Oral Screen
  • Habits Breaker
  • Flexible Denture

Mchanganuo wa Matibabu ya Meno

Huduma mbalimbali za Meno zinazotolewa katika Hospitali ya jiji Arusha, zinapatikana katika ufanisi wa hali ya juu kulingana na kiwango cha utaalamu kutoka kwa watoa huduma wetu. Pia, huduma hizi zinapatikana kwa kuzingatia makundi tofauti ya wagonjwa wanaokuja kupata huduma kwa makundi ya Watumiaji wa bima ya NHIF, Malipo ya Papo hapo pamoja na aina nyingine za Bima ili kuhakikisha huduma yenye ubora inapatikana. Hospitali ya Jiji Arusha inapenda pia kuwakumbusha watanzania/ wana jamii kuzingatia na kuwa na utaratibu wa kufanya vipimo vya mara kwa mara kwa lengo la kuhakikisha afya zao zinakuwa salama pasipo kusubiri mpaka hali ya afya zao zinakuwa na changamoto / mpaka wanapokuwa wanaumwa.


Miongoni mwa vifaa Tiba zinavyotumika katika kuhakikisha utoaji wa huduma za Matibabu ya Meno katika Hospitali ya Jiji Arusha, ni pamoja na vifaa vya aina mbalimbali kulingana na malengo au madhumuni ya vipimo/ tiba namna au wakati kifaa husika kinahitajika kulingana na tatizo la mpokea huduma kutoka kwa wataalamu wetu wa Afya. Vifaa tiba hivyo ni pamoja na kuzingatia ubora wa hali ya juu


Pia, miongoni mwa dalili za mbalimbali za matatizo ya Meno ambayo Hospitali ya Jiji Arusha inapenda kuwakumbusha watanzania kuwa makini kwa kuchukua tahadhari za haraka pindi wanapokutana nazo ikiwemo kufika katika kituo cha Afya kwa matibabu ya haraka ni pamoja na zifuatazo;

  • Maumivu makali ya jino
  • Ufidhi kutoa damu
  • Meno kutoboka

Wasiliana Nasi

(+255) 682 136 704

Tuma Ujumbe

ach@arushacc.go.tz

Eneo Tulipo

Njiro, Contenna. S.L.P 3013 Arusha. TANZANIA

Wodi za Wagonjwa

Tafadhali weka Booking ya Wodi za Wagonjwa kwa urahisi kwa kubofya Kitufe hapo chini

Wodi ya Umma

Admin

Tuna Wodi za Umma zenye ubora wa kiwango cha hali ya juu kwa wagonjw wanaofika kwa ajili ya kupata huduma za matibabu

Fanya Booking

Wodi za Mtu Binafsi

Admin

Weka Booking ya Wodi za Mtu Binafsi zenye ubora wa hali ya juu kwa ajili ya wagonjwa wanaofika kupata huduma kwa kubofya kitufe hapo chini

Fanya Booking

Wodi za Dharula

Admin

Pia, tuna Wodi za Dharula kwa ajili ya wagonjwa wanaofika kupata huduma ndani ya Hospitali ya Jiji Arusha

Fanya Booking