Masuala ya Mtandao

Mpya

Admin

Masuala ya Mtandao kwenye Server

Miongoni mwa huduma zinazotolewa katika kitengo cha TEHAMA ni pamoja na kuhakikisha Masuala ya Mtandao katika Server yanakuwa katika kiwango cha hali ya juu

Admin

Masuala Mengine ya Mtandao

Pia, miongoni mwa huduma zinazotolewa katika kitengo cha TEHAMA ni pamoja na kuhakikisha masuala mengine ya Kimtandao yanakuwa katika hali ya ubora wa hali ya juu

Admin

Masuala ya Mtandao wa Kompyuta

Kitengo kinatoa huduma ya masuala ya Mtandao wa Kompyuta ndani ya hospitali ya Jiji Arusha kwa kuzingatia ubora wa hali ya juu kipindi huduma inapohitajika

Wasiliana Nasi

(+255) 682 136 704

Tuma Ujumbe

ach@arushacc.go.tz

Eneo Tulipo

Njiro, Contenna. S.L.P 3013 Arusha. TANZANIA