Mipango na Fedha

  • Fedha
  • Mipango

Festo Mlawa, Mhasibu wa Hospitali

(+255) 753 851 543

Mr. Festo Mlawa ni miongoni mwa watu wenye uthubutu katika kazi, mwenye kubeba maono na kutekeleza majukumu ya kazi. Anaamini katika ushirikiano kutokana na uzoefu wake katika masuala ya Uhasibu ili kuboresha malengo ya Hospitali ya Jiji Arusha

Felister Samwel, Mhasibu Msaidizi wa Hospitali

(+255) 789 097 897

Miss. Felister Samwel ni miongoni mwa watu wenye uthubutu katika kazi, mwenye kubeba maono na kutekeleza majukumu ya kazi. Anaamini katika ushirikiano kutokana na uzoefu wake katika masuala ya Uhasibu ili kuboresha malengo ya Hospitali ya Jiji Arusha

Wasiliana Nasi

(+255) 682 136 704

Tuma Ujumbe

ach@arushacc.go.tz

Eneo Tulipo

Njiro, Contenna. S.L.P 3013 Arusha. TANZANIA