Kitengo Mionzi

  • Afya
  • Tiba Mionzi

Japhet Mkilya, Mkuu Kitengo Mionzi

(+255) 766 909 822

Mr. Japhet Mkilya ni miongoni mwa watu wenye uthubutu, ari na mwenye maoni katika mikakati mbalimbali yanayohusu kazi ikiwemo yenye tija chanya katika kuboresha ufanisi wa kazi ndani ya Hospitali ya Jiji Arusha. Anaamini katika kujituma na ushirikiano katika suala zima la utoaji wa huduma za afya katika hospitali ya Jiji Arusha

Paschal Matinde, Afisa Tabibu

(+255)

Mr. Paschal Matinde ni miongoni mwa watu wenye uthubutu, ari na mwenye maoni katika mikakati mbalimbali yanayohusu kazi ikiwemo yenye tija chanya katika kuboresha ufanisi wa kazi ndani ya Hospitali ya Jiji Arusha. Anaamini katika kujituma na ushirikiano katika suala zima la utoaji wa huduma za afya katika hospitali ya Jiji Arusha

Wasiliana Nasi

(+255) 682 136 704

Tuma Ujumbe

ach@arushacc.go.tz

Eneo Tulipo

Njiro, Contenna. S.L.P 3013 Arusha. TANZANIA