Kitengo MACHO

  • Afya
  • Matibabu

Rosemary Kimaro, Mkuu Kitengo Macho

(+255) 782 644 646

Miss. Rosemary Kimaro ni miongoni mwa watu wenye maono na kutekeleza majukumu ya kazi katika kuhakikisha malengo ya Hospitali ya Jiji Arusha yanafanikiwa yakiwemo katika kutoa huduma yenye ubora wa hali ya juu. Anaamini katika ushirikiano na watumishi wengine ili kuboresha ubora wa huduma zinazotolewa katika hospitali ya Jiji Arusha

Joan Msuya, Daktari wa Macho

(+255) 718 785 775

Miss. Joan Msuya ni miongoni mwa watu wenye maono na kutekeleza majukumu ya kazi katika kuhakikisha malengo ya Hospitali ya Jiji Arusha yanafanikiwa yakiwemo katika kutoa huduma yenye ubora wa hali ya juu. Anaamini katika ushirikiano na watumishi wengine ili kuboresha ubora wa huduma zinazotolewa katika hospitali ya Jiji Arusha

Wasiliana Nasi

(+255) 682 136 704

Tuma Ujumbe

ach@arushacc.go.tz

Eneo Tulipo

Njiro, Contenna. S.L.P 3013 Arusha. TANZANIA