Utawala

  • Matibabu
  • Utawala

Dkt. Said A. Salim, Mganga Mfawidhi

(+255) 659 517 770

Dkt. Said A. Salim ni miongoni mwa watu wenye uthubutu, ari na mwenye maoni katika mikakati mbalimbali yanayohusu kazi ikiwemo yenye tija chanya katika kuboresha ufanisi wa kazi ndani ya Hospitali ya Jiji Arusha. Anaamini katika kujituma na ushirikiano katika suala zima la utoaji wa huduma za afya katika hospitali ya Jiji Arusha

Miss Edna Mwang'onda, Katibu wa Afya

(+255) 753 804 490

Miss. Edna Mwang'onda ni miongoni mwa watu wenye uthubutu, ari na mwenye maoni katika mikakati mbalimbali yanayohusu kazi ikiwemo yenye tija chanya katika kuboresha ufanisi wa kazi ndani ya Hospitali ya Jiji Arusha. Anaamini katika kujituma na ushirikiano katika suala zima la utoaji wa huduma za afya katika hospitali ya Jiji Arusha

Robbinson Olomi, Katibu Msaidizi wa Afya

(+255) 763 524 569

Mr. Robbinson Olomi ni miongoni mwa watu wenye uthubutu, ari na mwenye maoni katika mikakati mbalimbali yanayohusu kazi ikiwemo yenye tija chanya katika kuboresha ufanisi wa kazi ndani ya Hospitali ya Jiji Arusha. Anaamini katika kujituma na ushirikiano katika suala zima la utoaji wa huduma za afya katika hospitali ya Jiji Arusha

Wasiliana Nasi

(+255) 682 136 704

Tuma Ujumbe

ach@arushacc.go.tz

Eneo Tulipo

Njiro, Contenna. S.L.P 3013 Arusha. TANZANIA