Karibu katika Dirisha letu la Mauzo. Agiza na Kununua Bidhaa za Aina mbalibali kwa bei nafuu
CHINA World Express, Tunahakikisha kuwa huduma bora za Ununuzi na uagizaji wa Bidhaa kwa wafanyabiashara wadogo inafanyika kwa ufanisi wa hali ya juu. Kwa wale Wateja wanaoagiza bidhaa kutoka China pamoja na wale wanaonunua kutoka katika Maduka yetu. Zifuatazo ni taarifa za Muda hadi bidhaa kumfikia Siku 1 ( Maduka Yetu ) Siku 2 - 7 ( Usafiri wa Ndege ) Siku 25 - 30 ( Usafiri wa Meli )
07 June,2024
, 8:00 PMCHINA World Express imenirahisishia Ununuaji na uagizaji wangu wa bidhaa mbalimbali kutoka nje ya Tanzania kuwa mrahisi sana. Nawashukuru sana China World Express kwa huduma zenu bora.
04 April, 2024, 11:04 AM
Kupitia CHINA World Express, biashara yangu imekuwa rahisi na yenye ufanisi wa hali ya juu sana kwa wateja wangu. Asante sana China World Express kwa ufanisi wa utendaji kazi wenu kwa wafanyabiashara