07 June,2024
, 8:00 PMCHINA World Express imenirahisishia Ununuaji na uagizaji wangu wa bidhaa mbalimbali kutoka nje ya Tanzania kuwa mrahisi sana. Nawashukuru sana China World Express kwa huduma zenu bora.
04 April, 2024, 11:04 AM
Kupitia CHINA World Express, biashara yangu imekuwa rahisi na yenye ufanisi wa hali ya juu sana kwa wateja wangu. Asante sana China World Express kwa ufanisi wa utendaji kazi wenu kwa wafanyabiashara