CHINA World Express, Tunahakikisha kuwa huduma bora za Ununuzi na uagizaji wa Bidhaa kwa wafanyabiashara wadogo inafanyika kwa ufanisi wa hali ya juu. Kwa wale Wateja wanaoagiza bidhaa kutoka China pamoja na wale wanaonunua kutoka katika Maduka yetu. Zifuatazo ni taarifa za Muda hadi bidhaa kumfikia.Siku 1 ( Maduka Yetu ), Siku 2 - 7 ( Usafiri wa Ndege ) na Siku 25 - 30 ( Usafiri wa Meli )

4.5
  • 3
  • 2
  • 0
  • 0
  • 0
  • John Urassa

    07 June,2024

    , 8:00 PM

    CHINA World Express imenirahisishia Ununuaji na uagizaji wangu wa bidhaa mbalimbali kutoka nje ya Tanzania kuwa mrahisi sana. Nawashukuru sana China World Express kwa huduma zenu bora.

  • Agness Steven

    04 April, 2024, 11:04 AM

    Kupitia CHINA World Express, biashara yangu imekuwa rahisi na yenye ufanisi wa hali ya juu sana kwa wateja wangu. Asante sana China World Express kwa ufanisi wa utendaji kazi wenu kwa wafanyabiashara

Tathmini:

Namna ya Kulipia

Lipa Sasa

VISA Card

Lipa Sasa

Credit Card

Master Card

Lipa Sasa

PayPal