Maduka Ya Gesi yanayopatikana Ngazi ya Mkoa
Maduka Ya Gesi yanayopatikana Ngazi ya Wilaya
Maduka Ya Gesi yanayopatikana Ngazi ya Mtaa
Tazama na Agiza sasa Mtandaoni Aina za Gesi zinazopatikana
Mtumiaji wa Mfumo lazima afuate hatua zifuatazo ili aweze kuagiza gesi mtandaoni
Mteja lazima afanye usajili katika mfumo ili mfumo uweze kumtambua na aweze kuagiza
Baada ya kufanya usajili, Mteja anaweza kuagiza na kulipia huduma
Baada ya Mteja kuagiza na kulipia huduma, Mfumo utamtaarifu kwa kumtumia Anuani pamoja na ujumbe ya kawaida katika namba ya simu aliyoweka katika mfumo kuwa huduma aliyoagiza ataletewa mpaka mahali alipo