Mfumo unamuwezesha Mtumiaji kutambua maduka yote ya Gesi yaliyo karibu na yaliyosajili katika mfumo kuanzia ngazi ya Mkoa, Wilaya mpaka Ngazi Ya Mtaa kulingana na eneo mabalo mteja yupo