G-We Go Service ni Nani ?
Ni Kampuni ya Kitanzania inayomilikiwa na wazawa wa nchi ya Tanzania
Kampuni inatoa huduma za uinjinia wa ujenzi na kusimamia miradi ya ujenzi
Maono Yetu
Kuwa kiongozi na mfano wa kuigwa katika uhandisi wa masuala ya ufundi Mitandao, usimamiaji na uanzishaji wa miradi ya Uhandisi wa ujenzi wa majengo
Malengo Yetu
Tuna Malengo ya kuwa katika daraja la juu katika shughuli za ujenzi pamoja na kutoa huduma kwa wateja katika kiwango cha hali ya juu
Nini Tunathamini
Tunaamini katika kusimamia ubora wa huduma katika kiwango cha hali ya juu kwa wateja wetu kwa kuzingatia ubunifu, uwazi, malengo yenye tija na kufikia mategemeo Yetu
Kuhusu Sisi
Tunajihusisha na huduma za Uhandisi | Ufundi Majengo | Ufundi Masuala Ya Umeme na Teknolojia
Nyanja zetu za Taaluma bila mipaka katika teknolojia za ujenzi, Uhandisi, Utaalamu wa Teknolojia ya Mawasiliano. Tunafanya kazi kwa ukaribu na wateja wetu katika kuhakikisha wanafikia ndoto na malengo yao
Huduma
Katika Masuala ya Teknolojia, Kuna baadhi ya huduma zinazotolewa zikiwemo zifuatazo;
Ufundi Masuala ya Teknolojia
Tunajihusisha na masuala ya Teknolojia katika viwango vya hali ya juu
Shughuli za Ufundi Teknolojia ya Mawasiliano
Tunajishughulisha na masuala ya ufundi Satellite katika kiwango cha hali ya juu
Ufundi wa Teknolojia Ya Mawimbi ya Redio
Pia tunafanya ufundi wa Masuala ya Ufundi Teknolojia wa Mawimbi ya Redio katika kiwango cha hali ya juu
Katika Taaluma ya Uhandisi, Kuna baadhi ya ya shughuli zinazofanywa na sisi. Shughuli hizo zinajumuisha zinfuatazo;
Ujenzi wa Barabara na Reli
Pia tunajishughulisha na shughuli mbalimbali za ujenzi wa barabara na reli katika ubora wa kiwango kikubwa kukidhi mahitaji ya wateja wetu
Katika Taaluma ya Ufundi Umeme, kuna baadhi ya masuala ambayo tunashughulika nayo katika viwango vya hali ya juu zikijumuisha zifuatazo
Ufundi Umeme
Tunashughulika na masuala ya ufundi Umeme katika kiwango cha hali ya juu ili kukidhi mahitaji ya wateja wetu
Ufundi Mita za Umeme
Pia tunashughulika na ufundi wa Mita za Umeme kwa uzoefu wa hali ya juu. Tegemea huduma bora za ufundi Mita za umeme kutoka kwetu
Ufundi wa HT na LV
Pia tunashughulika na ufundi wa HT na LV kwa uzoefu wa hali ya juu. Tegemea huduma bora za ufundi Mita za umeme kutoka kwetu
Ufundi wa Transfoma
Pia tunashughulika na ufundi wa Transfoma za Umeme kwa uzoefu wa hali ya juu. Tegemea huduma bora za ufundi Mita za umeme kutoka kwetu
Wadau
Ubora wa Huduma, Kwa Matokeo Mazuri
Tumedhamiria kutoa msaada wa wataalamu wetu katika masuala ya ujenzi kwa kiwango cha hali ya juu
- Vifaa; Tunatumia Vifaa vyenye Ubora wa hali ya juu katika ufanyaji kazi wetu
- Uzoefu; Tuna ujuzi wa zaidi ya Miaka 8 katika ufanyaji kazi wetu katika miradi mbalimbali.
- Utayari Wetu; Tupo tayari na kutoa ushirikiano wa kutosha katika utoaji huduma zetu kwa wateja
Taarifa
Baadhi ya Taarifa mpya kutoka katika Kampuni yetu zinajumuisha zifuatazo;
Uzoefu
Kampuni yetu ina uzoefu wa zaidi ya Miaka 8 katika utoaji wa huduma bora kwa wateja wetu ili kufika malengo yao
- Miaka Zaidi ya 8 Katika Uhandisi
- Miaka Zaidi ya 9 katika Ufundi wa Umeme
- Miaka zaidi ya 8 katika Utaalamu wa Masuala ya Teknolojia
Utayari Wetu
Tunashughulika na utoaji huduma bora katika viwango vya hali ya juu ili kufikia malengo ya wateja wetu
- Uratibu na Upangaji Mzuri
- Ushirikiano Katika Kazi
- Matumizi ya Utaalamu wa hali ya juu
Ubora
Matumizi ya vifaa bora na Teknolojia ya hali ya juu katika kukidhi na kufikia malengo ya wateja wetu
- Vifaa Bora
- Wataamu Wazoefu
- Uzingatiaji wa Wakati
Usimamizi
Pia, tunatoa huduma katika kiwango cha hali ya juu ili kuhakikisha wateja wetu wanafikia malengo yao kupitia miradi tunayoifanya
- Upangaji Bora
- Ushirikiano katika Kazi
- Usimamizi wa Hali ya Juu
Miradi
Tunajishughulisha na miradi mbalimbali katika ubora wa hali ya juu. Baadhi ikijumuisha ifuatayo;
Miradi ya Uhandisi
Mradi ulifanikiwa kumalizika salama. Pia, wateja wetu walifanikiwa kufika malengo yao
Miradi ya ufundi Mabomba
Shughuli zote zilifanyika katika viwango vya hali ya juu, pia wateja walifanikiwa kufikia malengo yao
Miradi ya Utalaamu wa Mawasiliano
Mradi ulimalizika salama na kwa ukamilifu wa hali ya juu, pia wateja walifanikiwa kufika malengo yao
Miradi ya Ufundi wa Umeme
Mradi ulikamilika katika viwango vya hali ya juu. Wateja walifanikiwa kufika malengo yao baada ya mradi kumalizika
Mradi wa Uandaaji Maeneo Kazi Eneo la Sangis & Ndoombo
Mradi ulimalizika salama katika eneo la Sangis na Ndoombo katika nyanja za ujenzi wa Majengo
Miradi ya Ujenzi wa Barabara
Mradi ulimalizika katika viwango vya hali ya juu, pia wateja wetu walifanikiwa kufikia malengo yao baada ya mradi kumalizika
Ofa Zetu
Karibu kutazama ofa zetu kwa wateja wetu. ofa zetu zinajumuisha zifuatazo;
Picha
Baadhi ya picha za Matukio ya miradi iliyofanyika zikijumuisha;
Timu Kazi
Kutana na Timu Kazi yetu katika utekelezaji wa miradi mbalimbali kukidhi mahitaji ya wateja wetu. Karibu sana!
Amos A. Nyamhogothaa
Mkurugenzi Mtendaji na MuanzilishiMelito J. Maswanyia
MenejaAngela Mwalusepo
Mratibu wa TeknolojiaMahali
Kampuni yetu inapatikana eneo la Tengeru, mkoa wa Arusha nchi Tanzania
Mawasiliano
Tafadhali wasiliana nasi kupitia njia zifuatazo
Mahali:
S.L.P 16081
Tengeru, Arusha. TANZANIA